Monday 10 May 2010

KIDUM FEATURING LADY JAY DEE-NITAFANYA

Kidum feat Lady Jay Dee – Nitafanya (GetMziki Exclusive ***)

Posted using ShareThis

BIFU LA T.I.D NA HASHEEM THABIT

HASHEEM THABEET
TOP IN DAR

HASHEEM Thabeet ampiga mtama TID!
STREET FIGHT: HASHEEM THABEET VS. TID
ILIKUWA muda wa kama saa nane na nusu usiku. Siku ni Ijumaa tarehe Mei 7, 2010. Nilikuwa nimesimama nje kwenye parking karibu na mlango wa kuingilia Club Billicanas jijini Dar es Salaam nikitafakari nifanye makeke gani usiku huo. Nikiwa nimesimama kwa pembeni, nilimuona msanii wa Bongoflava maarufu kama TID akiingia club huku akiwa ameambatana na kimwana. TID alikuwa amevaa suruali jeans imepauka huku akining'iniza kitambaa (handkerchief) kwenye mfuko wa suruali wa nyuma. Alionekana akiwa high ready to have a good time in the club. Dakika kama 20 baada ya TID kuingia, nikaona Range Rover Sport nyeusi inaingia kwenye parking ya club. Kama sikosei number plates zake ni TSSS 101. Nikiwa nimevutiwa kuliangalia hili gari, nikaona vioo vimeshushwa na mchezaji wa basketball kule mtoni kwenye ligi ya NBA, Hasheem Thabeet, ndiyo anaendesha hiyo Rover. Akiwa amevaa kapero (cap) huku akiambatana na wapambe kama watatu, Hasheem alisalimiana na bouncers na washkaji wengine mlangoni na kuingia club.

Nikiwa naendelea kucheki vimwana wakali wakiingia club, mara naona TID anatoka kwa mwendo haraka kutoka ndani ya club. Nyuma yake namuona Hasheem anamfuata TID huku akiwa anaonekana mwenye hasira.

Mara Hasheem akampiga mtama TID akadondoka kwenye pavement karibu kabisa na mlango wa kuingilia club na kujipiga kisogo sakafuni. Wapambe na bouncers wakajaribu kumvuta Hasheem pembeni lakini Hasheem akaonekana mwenye hasira na kutaka kuendelea kumchapa TID.

Mpambe mmoja wa Hasheem akamwambia, "People are just looking at you cos you are the super star, achana na huyo **** (TID)."

Hasheem akamwambia TID "Mimi ni mtoto wa Sinza, usicheze na mimi ****mayo."

Wapambe wa Hasheem wakafanikiwa kumchukua Hasheem na kwenda naye kuelekea Ben Mkapa Towers, nadhani Savannah club.

Huku chini, TID akaanza kulia kwa sauti. He was kicking and screaming on the ground, obviously trying to create a scene aonekane kama kaumizwa sana na Hasheem. Msichana aliyekuwa na TID alibaki amesimama pembeni, looking sooo embarrassed huku TID akipiga mayowe.
Then TID got up and started running after Hasheem, demu wake alijaribu kumzuia akamsukuma kwa nguvu.

TID aliishia mpaka mbele kidogo ya eneo la kuingilia bar ya Break Point iliyo karibu na Billicanas na kukutana na askari polisi waliokuwa kwenye patrol.

Baada ya kuona Hasheem katoweka, TID alitimka zake kwenye eneo hilo na kuondoka mjini.

Sunday 9 May 2010

HAPPY MOTHERS DAY FOR ALL MOTHERS



http://www.youtube.com/watch?v=1Eb9Um6VQuY
Nawapenda sana na mungu awabariki na kuwazidishia,nyie ni kilakitu.

Thursday 6 May 2010

HATA MBWA NAO WANAPENDA MITANDAO LOL.


cute dog,sasa hapo sijui yupo facebook au anangalia ngono,maana nao wamo wamo hawa

RAIS WA NIGERIA:UMAR MUSA Y`ARDUA HATUNAYE







Yar’adua, who was born on August 16, 1951, was aged 58. He was flown to Saudi Arabia on November 23 2009 and returned home under darkness on February 24, this year.
He died at about 10pm.
He will be buried in Katsina tomorrow in accordance with Islamic rites.

Jonathan will be sworn in this morning.

THE PUNCH learnt that news of his death first filtered out shortly after he breathed his last when some of his aides briefed Acting President Goodluck Jonathan and National Security Adviser, Gusau about his death.

Mr. Yar’adua spent much of his time as the Governor of Katsina State (1999-2007) battling a kidney related ailment. But his supporters said he had recovered sufficiently to contest the 2007 Presidential Elections after he got a kidney transplant.
But not long after he won the election and was sworn in, his health failed and he had to be flown abroad on a few occasions for treatment.

Although the exact nature of Yar’Adua’s frequent illness was never truly known as his medical trips abroad were always shrouded in secrecy, the Presidency gave an indication of the nature of the sickness after the last trip to Saudi Arabia saying
that he was to be treated for Acute pericarditis.


However, Saharareporters, an online medium, had, in a series of reports, insisted that the President suffered from the terminal Churg Strauss syndrome

R.I.P. umar yar´dua

haya waliokua wanaomuombea sasa nadhani wamefurahi,na kwa wanaijeria usikute hiyo ni matokeo ya voo doo tu.


Tuesday 4 May 2010

MISS UNIVERSE 2010:HELLEN DAUSEN




sio siri ni mzuri na anavutia sana tu,i hope na mwaka huu tutafanya vizuri,mie tayari anayo kura yangu,big up hellen.

Saturday 1 May 2010

WAREMBO KUTOKA UGANDA







sina la kuongezea zaidi ya kusema east afrika tunatisha ukija kwenye maswala haya,kula na macho mdau,week-end njema.