Monday 30 August 2010

IBRAHIMOVIC HUYOOOO INTER- MILAN


Swedish star striker Zlatan Ibrahimovic is set to complete a €24 million move to Italian giants AC Milan after a single season with Spanish champions Barcelona. The former Juventus and Inter Milan striker will join initially on a year-long loan before signing a permanent deal at the end of the season. He is due to undergo a medical on Monday, after which he will sign a four-year contract. "I'm delighted that everything has been resolved for the best, even if the situation was not easy," said Ibrahimovic. "Now I will return to Milan but for a different team to Inter; things are going forwards. "Milan are one of the best teams in the world because of their team and their tradition. With (Alexandre) Pato and Ronaldinho we have a fantastic strike-force, now it's down to us. "I think Milan's fans will have fun in the stadium with us three." Ibrahimovic, who was a fan favourite at Inter, brushed off talk about any ill-will their fans might harbour towards him. "I don't think they will think about me, given they won everything," he said, referring to Inter's treble triumph last season. "This situation, which was created at Barcelona, has given me a lot of adrenaline and now my dream is to win everything with Milan." Ibrahimovic was Barca's marquee signing a year ago but was considered a disappointment in his first season in Spain and essentially became surplus to requirements in Catalunya following the €40 million acquisition of Spain forward David Villa from Valencia. The deal is a real coup for cash-strapped Milan, who earlier this month entered into a complicated loan deal with Genoa to land Ghana midfielder Kevin-Prince Boateng. Milan vice-president Adriano Galliani, who had been in Barcelona since Wednesday to try to find an agreement, explained how the deal works. "We've come to an agreement with Barcelona for the loan with the right to buy for €24 million, which will be paid in three €8 million payments over the next three seasons (after this one)," he said. "Ibrahimovic will sign a four-year deal which will be ratified after his medical on Monday. "We will unveil him after he has come back from international duty." Milan also signed Boateng on loan because they do not currently have the funds to buy players. Boateng was bought by Genoa from Portsmouth for €6.5 million and immediately loaned to Milan, who will sign him in a year, at a profit for Genoa. Ibrahimovic becomes one of a small number of players to have played for Italy's big three teams. He spent two seasons at Juventus, having joined from Ajax, before going on to grace the black and blue shirt of Inter for three years, winning the title in every season. He was sold to Barcelona a year ago for €46 million plus Cameroonian striker Samuel Eto'o, in a transfer that put the Swede's value at around €69 million.

MISS AFRICA PRE-SELECTION BASH ON 3rd september2010 MORE PHOTO&MODELS


maryama stella fatouma-gambia
aisatou(new)
amie nyang
dorothy
 emilly mathew
hallex berry
linda
mathy matondo
pendo
regina
love-tanzania
source:ksb blog

MIPAKAZO HIYO NEXT WEEK-STOCKHOLM


mshindwe wenyeweee.

Friday 27 August 2010

BRYTON ISAAC a.k.a ISAAC JR.

BRYTON (right)with sister in law PEACE.



My son BRY and my best friend indeed,i mean it.tunapakaza lakini tumelea bana.

WERRASON "CHAMPION KUTULA"ONE OF THE BEST CONGOLESE SONG

Sikiliza ma-vokal humo ndani,halafu mtu anakuuliza kwanini unapenda mabolingo??yaani acha tu.

FRIDAY BONGOMOVIE"INYE PLUS"enjoy comedy

PT.1
He he heee,eti vocha zipo laah.
PT:2
haa haaa tetemeko la ardhi ama?
PT:3
zamu yangu kubeba bana teh teh
PT:4

PT:5
naangalia mazingira teh teh.
PT:6 comedy nzuri sana yaani nimecheka leo mpaka basi maana humu vimekutana vichwa vyote comedians bongo,ingawa hawajamalizia vizuri lakini movie nzuri.enjoy watch and comment.

Thursday 26 August 2010

lunch time leo"GRILLED KING FISH"

ni samaki anaitwa "makreel"akiwa mdogo una grill mzima kama hivi

 lakini kama ni mkubwa mean"KING FISH"mara nyingi inakuwa vipande km picha hizo chini.


mahitaji.
500 gram(s) thick slices of king fish cleaned
1 tablespoon(s) lemon juice
salt to taste lemon wedges,
finely sliced onion rings,
cucumber and tomato slices to garnish.

. Grind to a fine paste:
1 tablespoon(s) red chilli powder
½ teaspoon(s) black pepper powder
½ teaspoon(s) turmeric powder
½ teaspoon(s) cumin seeds
½ teaspoon(s) coriander seeds
1 small onion chopped
2 teaspoon(s) garlic chopped
2 teaspoon(s) ginger chopped
4 curry leaves
salt to taste water to grind as required

1. Apply a little salt and lemon juice to the washed fish slices. Keep for 5-10 minutes. Wash and drain well.

1. Marinate the fish slices in the ground paste and keep preferably refrigerated for about an hour.
2. Heat a griddle on medium flame and smear a little oil on it.
Place the slices in batches of 2 or 3 depending upon the size of the griddle. Do not overcrowd the griddle. Pour a little oil around each fish slice with a teaspoon and let it roast on a medium flame till aromatic and crisp. Flip and repeat the procedure for the other side.

one of my favourite meal.hii waweza kamata na wali au chipsi upendavyo.hawa samaki wanapatikana hapa stockholm taj mahal au duka la wachina pale town.sometime hata ICA.

KIBAKA ADAKWA UTAAAMU KWENYE PICHA AKIIBA BEGI


"hey cheez smiile". family hiyo ikipozi kwa picha.
unamuona jamaa kulee nyuma subiri....... 
 ahaaaa,nimekubamba we unatafuta nini humo na begi sio lako???
kibongobongo hapo angekula ,makofi ngwara,vitofa nyundo mpaka analegea kisha mnatafuta peteroli na kibo matches mnamalizia.

hapa inasemekana hii family walikua wametegesha automatic camera na kuweka pozi ili wapige picha.kumbe nyuma yao kuna jamaa alikuwa anawalia timming aibe. jamaa akakwara bag kisha akatokomea wenyewe hawana habari.wenye mali baada ya kugeuka wachukue bag limekwenda dooh.bahati nzuri mwenye bag akakumbuka kama labda amemshoot jamaa pia.na kweli bwana akamwona mwizi wake vizuuuuri sana ndani ya picha.kibaka alipoiba alitupa bag na zagazaga nyingine zisizo maana ndani lakini akaiba ipad,car keys,wallet ikiwa na ma credit card kibao,funguo za hotel na fweza(dolare) cash kibao akatereza.baada ya mwenye mali kumuona mwizi wake kwenye picha kilichofuata ni kuwapa picha tu polisi na haikuchukua muda mwizi akatiwa kibindoni.maana bado alikuwa akizagaazagaa maeneo hayo.

ROUND&ROUND IN STOCKHOLM


nikiwa na george"mukulu"tukilamba kilaji.mkuu huwa tunagongana sana maana tuna hobby moja "kula-mayi"basi,maisha yenyewe mafupi haya.
  kama unavyojua tena baada ya "kula-mayi"ikikolea raha unajipa mwenyewe.hasa likipigwa sebene la twanga ama ngwasuma.unapunguza stress.
hapa nilikutana na mangi na george a.k.a. side kwenye mipakazo yetu pale sebuleni kwa DEKULA-VUMBI,tulienda kulisakata zembwela na sendemaa bila jasho.tukutane tena ijumaa na jumamosi pale STOCKHOLM SODRA waungwana.

WA-NIGERIA NA U BUSSY WA BIASHARA YA MAPENZI

nimeshtuka leo baada ya kusoma kwamba kuna binti wa miaka 16 toka nigeria amekamatwa na wenzake sita wakiuza mapenzi.baada ya kuhojiwa akakiri na kumtaja "BOSS" ambaye amewaleta kwa biashara na kusema yeye aliuzwa na mama yake kwa huyo boss kwa bei ya euro60,000=sek 565000.haya wanunuzi 20 wa mapenzi wametambuliwa na wamekubali kulipa faini.na inasemekana huyo BOSS wao mwanamke pia yuko huru na yuko AFRIKA kuchukua vibinti vingine(malighafi) kwaajili ya kuvileta kwa biashara(angejua kimewaka angeishia hukohuko),na inasemekana hivyo vibinti vinamwogopa sana boss wao sababu anaaminika ni mkali wa ndumba yee a.k.a(VOO-DOO).habari toka kwa chanzo chetu zinasema binti huyo amesema katika biashara hiyo anatengeneza zaidi ya kr 170,000 kwa mwezi na kulipwa kr 18,000! kwa kutembea na wastani wa wateja 85.kabla ya mabosi wake kukamatwa.na kama kawaida social service wamempa zawadi ya uraia na mahali pa kukaa baada ya kazi nzito.

haya jamani mitaani huko chonde,maana waweza kuona umeopoa ka-tineja fresh cha kiafrika kumbe umeokota  ngoma ya lopmarknad varberg maana hata ya kununua blocket ina afadhali.used saaaana.

Wednesday 25 August 2010

LAZEE ALIVYOWARUSHA WATU THE VOICE CONCERT 2010 STOCKHOLM



 hapa lazee akiingia stejini
mda huu watu walikuwa wamechizika maana dogo alikuwa kawapa vitu si vya kawa
lazee akiendelea kupagawisha
bila kusahau QUINCY JONES alikuwepo back of stage kumshuhudia kijana akikamua mavitu,LAZEE anakubalika sana hapa sweden,mi si mpenzi sana wa HIP-HOP lakini nilinawa mikono



Tiger Woods seeks to rekindle career after divorce

Tiger Woods

poa kidume ndio uwanaume huo,wote tumekumbana nayo hayo,ukiwa hodari wa kuzindua zipu ukumbuke pia na mikasa yake, ndio hali ya dunia-kazana urudishe mali zilizochotwa maana mmmmh.inatisha bora wenzio tunakuwa apeche-alolo vinavyochotwa kawaida tu.

MISS AFRICA PRE-SELECTION BASH ON 3rd september2010 MORE MODELS


Meet love-Tanzania

meet mathy matondo-congo kinshasa-sweden 

meet pendo from tanzania 
meet nathalie bomueti-R.D.C congo-sweden
ruth akongo from uganda-sweden
linda from tanzania-sweden

many more to come............
naona warembo wamechachamaa.ni vizuri kujitokeza ili ushindani uwe mwingi zaidi,nimefurahi kuwaona warembo hasa toka Tanzania wakiwa mstari wa mbele kabisa na nina hakika tutachukua hiyo kikombe na zawadi.
picha zaidi kuwajia baadaye.

source:ksb+ritz society



MAESTRO VUMBI&DEKULA BAND LIVE AT LILLA WIEN STOCK- SODRA 27-28 august


PLACE:LILLA WIEN BAR STOCKHOLM SODRA
TIME:21.00-01.00 
DATE:27-28 AUGUST 2010 FRIDAY & SATURDAY
ADD:SWEDENBORGSG.20 PENDEL: SÖDRA STATION
TUTAKUTANA HAPO RAIA

Tuesday 24 August 2010

BONGOWOOD STAR ARTIST-ELIZABETH "LULU"

Elizabeth Michael"LULU" 
ni msanii anayejitahidi kadri ya uwezo wake kuigiza.mara ya kwanza nilimuona katika movie ya FAMILY TEARS,movie ambayo KANUMBA na RICHARD wameshiriki.na humo ndani huyu binti amejitahidi sana kuigiza hasa ukizingatia kameigiza kama kitoto fulani hivi cha geti kali.sijamuona tena kuigiza katika muvi nyingine.na ziada sasa kabinti kanaandamwa na viskendo kibao kibongo-bongo.sasa sijui mapromota tayari washafanya mambo yao ya promosheni ama vipi.na kwa uvaaji huu na ukaaji ule nadhani jibu unalo mwenyewe.

Miss Universe 2010 - The Film

Miss Universe 2010: Miss Mexico Crowned


name:Jimena Navarrete

crown:Miss Universe

Country:Mexico
 
 Hometown:

Age:22
habari zaidi bofya link hiyo


amestahili-sijui ka-miss toka kwetu kaliishia wapi, ngoja nichimbe ntaleta news soon.

WYCLEF JEAN AENGULIWA KUGOMBEA URAIS HAITI,SASA KUKATA RUFAA


It is with a heavy heart that I tell you today that the board of elections in Haiti has disqualified me from my run for the presidency of the country. Though I disagree with the ruling, I respectfully accept the committee’s final decision, and I urge my supporters to do the same. We must all honor the memories of those we’ve lost–whether in the earthquake, or at anytime–by responding peacefully and responsibly to this disappointment. I was inspired to run for president because I know Haiti can become great with the right leadership, and I believe I could be that leader; but, ultimately, we must respect the rule of law in order for our island to become the great nation we all aspire for it to be. I want to assure my countrymen that I will continue to work for Haiti’s renewal; though the board has determined that I am not a resident of Haiti, home is where the heart is–and my heart has and will always be in Haiti. This ruling just tells me that I can’t officially seek the office of president. More importantly, there is no one who can tell me to stop my work in Haiti, and there is no one who could. I think of my daughter, Angelina, and it makes me want to redouble my efforts to help give all the children in Haiti better days. I also want to honor the memory of my father, a minister; I know that he would tell me that even though I’ve faced a setback, I must continue in all my good-faith efforts to help Haiti turn a corner to a better and brighter future. Do not think that my role in the future of Haiti is over; it’s just a different role than I had anticipated it to be. Rest assured, this isn’t the end of my efforts to help improve my beloved country but only marks a new beginning. 
Signed, Wyclef Jean
August 21, 2010

N:B-pole sana kaka ni ukweli inauma sana mtu unaponyimwa haki yako ya msingi kwa visingizio visivyoeleweka,anyway rufani yako ikishindwa pia rudi kwenye stage utudondoshee masongi tu.maana wewe bado utakuwa prezidaa wa mashabiki wako.

Monday 23 August 2010

TRAFFIC JAM CHINA SIKU TISA!!!!NA BADO WANASEMA YAWEZA FIKA MWEZI


A 100km long traffic jam in China has entered its ninth day and drivers are being warned the bottleneck could continue for a month. Hundreds of trucks heading for Beijing on the Beijing-Tibet Expressway have been at a standstill because of roadworks in the capital. Small traffic accidents or broken-down cars are aggravating the congestion which started on August 14. But those affected have been taking the disruption in their stride. Drivers have been playing chess or cards, with some joking "concerts should be held at each congested area every weekend, to alleviate drivers' homesickness". And local residents have been benefiting from the queue too by setting up temporary stalls selling food and drink to the car owners. There has been anger that some vendors have been making a small fortune by overcharging drivers for items including noodles and hot water. Around 400 police officers are at the scene 24 hours a day to make sure the situation stays calm. It is hoped the roadworks will be completed by the end of September but congestion and road safety are a huge concern for Chinese motorists. Traffic jams have been frequent since May due to the rapid increase of trucks to a daily peak of about 17,000. Niu Fengrui, director of the Institute for Urban and Environmental Studies at the Chinese Academy of Social Sciences told the Global Times poor road planning was part of the problem: "If there's no traffic jam in the city, that would be news. "Our government should pick up the pace of urban infrastructure construction and spend some of its budget." SOURCE:YAHOO NEWS