tag:blogger.com,1999:blog-9005452009038737022.post3288920358642482373..comments2023-12-28T19:31:33.463-08:00Comments on i s a a c k i n . com: MTANZANIA MWINGINE MKAZI WA STOCKHOLM ALIYEKUWA MCHEZAJI WA SIMBA ZAMANI AKAMATWA NA UNGA ADDIS ABBABAisaackinhttp://www.blogger.com/profile/09143606132115188985noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-9005452009038737022.post-60147745984158278852013-09-13T16:21:01.486-07:002013-09-13T16:21:01.486-07:00Kwakweli Watanzania tuache ujinga wa kutumiwa na w...Kwakweli Watanzania tuache ujinga wa kutumiwa na wengine kuuza madawa, hao wanawatumia wenzenu wametulia kimya wanafaidi maisha hapa Sweden na Tanzania, Waswede(wazungu) wenyewe wanasota na wanafanya kazi kwa bidii sisi tunataka short cut.Hakuna short cut katika ulimwengu huu fanya kazai ya halali inayokuingizia psea na tuache kusema watu, nahii mikushanyiko ya Watanzania tukikutana baada ya kuongea maendeleo tunakaa kusemana, wenye akili wanaendelea mbela. Sasa kama umejenga nyumba na kununua gari hutatumia.Ila Watanzania tuache UVIVU.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-9005452009038737022.post-11940444047070834042013-09-11T08:55:16.774-07:002013-09-11T08:55:16.774-07:00HAPO ISAACK NAKUUNGA HUNDRA PROCENT HUJAKOSEA NI W...HAPO ISAACK NAKUUNGA HUNDRA PROCENT HUJAKOSEA NI WAKATI WA VIJANA TUJITAFAKARI NA PIA KUFANYA KAZI KWA BIDII. SIYO KUKAA TU NAKUWASEMA WASWIDI AMBAO HAPA NI KWAO. <br /> NAJUA KUNA WATU INAWACHOMA, UKWELI UNAUMAAnonymousnoreply@blogger.com