rais robert mugabe
gonga chini kusoma
baada ya kuzushiwa kwamba rais robert mugabe yuko hoi hali yake tia maji tia maji hospitali malaysia,jumapili jioni amerudi zimbabwe na kusema yeye yuko physical fit wenye wivu wajinyonge na kwa mba alikuwa zake singapore huko akipumzika na kula bata.
kauli hiyo naona itakuwa inazidi kuwakatisha tamaa raia wengi wa zimbabwe ambao wanahitaji mabadiliko ili angalau wa-enjoy maisha kidogo lakini wapi bwana muzee bado yupo na ataendelea kuwepo kwa jeuri ya chama na wala hana dalili ya kuachia madaraka leo au kesho wapende wasipende.nashindwa kuelewa ikulu pana nini maana hawa viongozi wetu waafrika wakishakaa pale basi wanataka kufia hapo hapo.
No comments:
Post a Comment