mr isaackin na bwn chalz tukikwambia tuwemo
humphrey
kulikuwa pia na jamaa zangu hawa
humphrey,nice,mrembo toka hapo kigali
nuru na smile lake la kukata na mundu
wazee wa mipango miji na serikali za mitaa
sara,jack,humphrey na friend
jamaa yangu alichangamka sana siku hiyo
sister zangu wa hiyari hawa kwenye pozi
chalz na shemeji,shemeji na humphrey
wakali wa kilimanjaro humphrey na abuu
nuru"THE LIGHT" na salome kama kawaida
hapa km vile jamaa anasema"ntakuchapaa"
jamaa anajibu"aaah kaka mambo gani tena hayo kwenye starehe"
julieth na mzee
chalz na lily
nyomi la kufa mtu
hii inafanana na kili eeh.
sebeneee
naona wazee wa chai wanakaba
niliipenda sana hii
hapa ilikuwa mserereko na kadansee
ndugu yangu siku hii vitabu vitakatifu aliweka kando kwanza
jack,friend ana abuu
watu walikuwa busy sana na kufurahi"no digit"
"eeh unanibeep"
ngoja nikuonyeshe kazi
hapa mtungi tuu mambo mengine baadae
No comments:
Post a Comment