Saturday 12 February 2011

VALENTINE DAY PARTY SOLLENTUNA CANCELLED

KWA HABARI NILIZOPATA HIVI PUNDE ILE PARTY ILIYOKUWA IFANYIKE LEO PALE SOLENTUNA IMEFUTWA,HII IMETOKANA NA SABABU YA MATATIZO YA HALI YA HEWA KUSABABISHA USAFIRI KUTOKUWA  NA UHAKIKA.
WAANDAAJI WANAWAOMBA RADHI WADAU WOTE WA BURDANI NA KUAHIDI KUANDAA PARTY INGINE MUDA SI MREFU

MSISAHAU PIA KWAMBA LEO VUMBI ANATIMUA VUMBI LA SNOW PALE SODRA KAMA KAWAIDA.MSIKOSE

No comments:

Post a Comment