firigisi zako zikiwa tayari zimeoshwa na kusafishwa
hapa tayari zikiwa na marination"viungo"
unakaanga kwenye mafuta kiasi
kama dk 7 mpaka ziwe brown
firigisi zako tayari kwa kuliwa
maharage pembeni recipe ya maharage bofya HAPA
hapa menyu imekamilika ugali,maharage,firigisi,ndimu na piri piri.sahani mtaiona rafu kidogo lakini msijali misosi mie huwa natengeneza kwa kutandika mwenyewe nyumbani kwa hiyo huwa sipambi wala huwezi ona garnish,garnish yangu ni ndimu na piri piri(kwa wale wanachama mtaniunga mkono hapa)
INGREDIENTS
*500g gizards(firigisi)
*1 tea spoon garlic ginger paste
*1 tea spoon lime juice
*1 tea spoon curry powder
*1 tea spoon garam masala
*half cup oil
*salt to taste
METHOD
put oil in the pan wait until hot,then put gizards in the pan and fry them both sides until brown,then u can put litle hint of dark soy sauce(to soften) and stir fry again in 1 min.
serve when hot
msosi unavutia!!
ReplyDeleteyah,waweza jaribu pika nawewe nyumbani pia ni rahisi tu
ReplyDeleteNitajaribu kaka!Asante sana.
ReplyDelete