aladji,aladjiii tule monde lepelemee-miss africa scandinavia no 3 toka Togo akijiachia vilivyo
hii inaitwa bizzi-bodi nani alikwambia waafrika tunahitaji gym?kucheza muziki ni zoezi tosha kwa mwezi mzima
jessie yeye alikuwa kapiga kihip-hop siku hiyo utamtaka
mzee wa kuchapa"sound of blackness"akifurahia kuona watu wanaruka ngoma zake kama wamepagawa
miss africa scandinavia no 2 toka Cameroon
ndugu yangu alichangamka sana siku hiyo
nyomi
baada ya ka-danse kidogo mara MC akaingia na kusema kinachofuata
BADO PICHA NI NYIINGI NA MATUKIO TUONANE HAPA KESHO
No comments:
Post a Comment