ha ha ha namkumbuka marehemu babu yangu alikuwa na usemo huu .MALI IYONEKANAYO NDIO ITOKAYO !.lakini kwa mtaji huu hii imepitiliza coz hapa chupi huyo hana , hata tukimtetea labda kavaa tong lakini itakuwa haina mikanda ? mimi sina la kusema zaidi ya kumtakia kila la heri na biashara anayoitangaza.
No comment!
ReplyDeletenami nasema pia no comment!!
ReplyDeleteha ha haa,vp dada zangu?no comment ni comment pia bora mngeiongezea maneno tu,nawaelewa lakini.
ReplyDeleteNimeishiwa nguvu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteAisee, labda imevaliwa mahala sio pake, ...sijui kama kweli kapita nayo barabarani, sijui...thithemi kitu
ReplyDeletebiashara matangazo jamani,mabinti wanazidisha mitego na mbinu mpya kila siku.hakuna pa kuchomokea
ReplyDeleteha ha ha namkumbuka marehemu babu yangu alikuwa na usemo huu .MALI IYONEKANAYO NDIO ITOKAYO !.lakini kwa mtaji huu hii imepitiliza coz hapa chupi huyo hana , hata tukimtetea labda kavaa tong lakini itakuwa haina mikanda ? mimi sina la kusema zaidi ya kumtakia kila la heri na biashara anayoitangaza.
ReplyDeleteyaah,na hapo ukiingiza mkono kwenye hilo pochi unakutana na sambusa la kufa mtu
ReplyDeleteJamani Mzee wa Ndombolo hapo umeniacha kdg sambusa ndo nini????????
ReplyDelete