katika europe tour atakyofanya kwa mwezi wa june,aanategemewa pia kutumbuiza hapa sweden tar 10.hivyo mashabiki wote wa mbagaraaaaaaa muandae kurona maana mipakazo ya mwezi huo ni ya kufamtu
@yasi wewe tena lazima ndani ya nyumbi, "edna kurona ziwe za kutosha si unajua lazima uvunje duka kwanza kwaajili ya pamba kisha ndo kutoka,lakini wewe naamini hukosi wadhamini.
Ahsante kwa taarifa...ngoja tuandae hizo kurona:-)
ReplyDeleteWacha weee Diamond anakuja,hiyo si ya kukosa tuandae krona ngapi?
ReplyDelete@yasi wewe tena lazima ndani ya nyumbi,
ReplyDelete"edna kurona ziwe za kutosha si unajua lazima uvunje duka kwanza kwaajili ya pamba kisha ndo kutoka,lakini wewe naamini hukosi wadhamini.