WAUNGWANA MPAKA SASA NAONA NIKO HAI SIAMINI;NAJARIBU SHINGO NA MAGUU KM IKO SAWA NAONA POA TU,LABDA MUNGU KATUPA VISIKU KIDOGO TUTUBU SIJUI,AMA LABDA ANATUSIKILIZIA MPAKA TOMOROW YA KESHO MCHANA HATUJUI TUENDELEE KUSUBIRI,MIE NAINGIA KULALA TUAMSHANE TUKIONA AU KUSIKIA DALILI MBAYA.
SIKU MWEMA
No comments:
Post a Comment