nyama itachomwa hapo uwanjani kuanzia saa nane mchana
pia utapata fursa ya kutembelea mbuga ya wanyama iliyopo hapo bure kabisa
skalmsta gård kwa ndani ukumbini
kadanse ni kwa kwenda mbele"no cavities"
nyama choma za fresh za kufa mtu na piri piri
unakaribishwa kwenye utamaduni wa kukutana pamoja, chakula, MBUZI CHOMA(THENGA TWARIE= AFRICAN SAUSAGE) DJ Richy na muziki kutoka Afrika Mashariki,bongo flava, Kongo nk:: Mchango wako ni kr 200 kwa kila mtu na SEK 300 kwa kila familia na watoto chini ya miaka 18. Utapata chakula na vinywaji viwili. baadae kutakua na mauzo ya vinywaji kwa wanaotaka kuburudika zaidi. Malipo yanatakiwa kufanywa siku tatu kabla ya tukio.wasiliana na namba hizo hapo juu. Kuhakikisha kuwa umelipa uwe na risiti ya malipo ukija kushiriki katika tukio hili la kitamaduni.
Malipo ni pamoja na usafiri kutoka kituo cha Märsta mpaka kwenye ukumbi wa tukio hilo na safari yakurudi Märsta kituoni, chakula na vinywaji.kama ukitaka kulipa papo hapo, ni gharama za usafirishaji SEK 75 pamoja na kiingilio. Vinywaji na chakula kwa viwango vya kawaida/bei poa..

Ni nyama choma ya uhakika...kila kitu ni FRESH, imechinjwa siku hiyo hiyo, nyama, mboga fresh..ugali na, pilau.
KARIBUNI
Afro-Svenska kultur Club
Club Culturel Afro-Suedoise
Afro-Swedish Utamaduni Club
Afro-Swedish Cultural Club
Inbjuder till ett utsökt kulturellt möte med exotisk mat MBUZI CHOMA OCH THENGA TWARIE(AFRICAN KORV) DJ Richy och musik från Östafrika, bogo flava, congo etc: Detta är en VIP-fest och du är inbjuden. Vi har kostnader och vi ser fram emot ditt bidrag på 200 kr per person och 300 kr per familj med barn under 18 år. Betalningen bör senast göras tre dagar innan evenemang till din kontakt person. Se till att kopia av betalningen är med dig när du deltar i den kulturella träffen.
Betalningen inkluderar transport från Märsta station till platsen för evenemanget och retur resan till Märsta station, mat och dryck. Om du betalar på plats kommer det att kosta dig 75 kr transport och entré. Drinkar och mat kommer att vara normala priser som medlemmar.

Invites you to a delicious cultural encounter with exotic food, MBUZI CHOMA AND THENGA TWARIE( AFRICAN SAUSAGE) DJ Richy and music from East Africa, bogo flava, congo etc:: This is a VIP party and you're invited. We have costs and we look forward to your contributions at 200 per person and SEK 300 per family with children under 18. Payment should be made no later than three days before the event to your contact person. Make sure that the copy of payment is with you when you participate in the cultural event.
The payment includes transport from Märsta station to the venue of the event and return journey to Märsta station, food and drink. If you pay on the spot, it will cost you 75 SEK transportation and admission. Drinks and food will be normal rates as memberspriser som

mipakazo itatuua!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteha ha haa,umeona eeh?jamaa wanapanga hii mipakazo bila huruma teh teh
ReplyDelete