Tuesday 9 August 2011

HALI HALISI BONGO:GIZA LIMETAWALA NA SASA MAFUTA CHWEE!

                      
            














vituo vyeupeeee

vikifunguliwa kuna foleni lakufa mtu

Bofya  HAPA  kwa habari zaidi

HALI HALISI YA MAMBO YANAYOTOKEA HUKO NYUMBANI INASIKITISHA,MAANA BADO BAA LA UMEME HALIJAISHA SASA KUNA ISSUE YA MAFUTA.HIVYO HATA KAMA UNA JENERETA IMEKULA KWAKO,UNLESS JENERETA LAKO LIWE LINATUMIA MAJI BARIDI.
NDIO MAANA YAKE VIONGOZI HAWAPO SERIOUS KATIA JAMBO LOLOTE NDIO TUNAENDA KUANGUKIA KATIKA MAJANGA KAMA HAYA,
HAYA MASWALA NI YA KIJAMII NA YANAMUHUSU YOYOTE ANAYEIPENDA NCHI YAKE,MIAKA 50 YA UHURU HUKO TUNAKOELEKEA SIJUI NI WAPI MAANA HALI INATISHA KWA KWELI,SIJUI MLIOKO BONGO MTUJUZE KAMA MVUA IMEANZA KUNYESHA MAANA RAHISI ALISEMA NDIO UVUMBUZI PEKEE WA MGAO WA UMEME.
WAUZAJI MAFUTA WAMEGOMA KWA KUSHINIKIZA BEI ZAO WANAZOTAKA HAWANA HURUMA NA MWANANCHI WA KAWAIDA,ANAYEKWENDA UMIA NA KUPANDA KWA VITU SABABU TU WENYEWE WANATAKA!NA WAKATI HAYA YOOTE YANATOKEA VIONGOZI WAKUU WA CHAMA NA SERIKALI NDIO KWAANZA WAKO BUSY SANA KUZINDUA NA KUFUTURISHA,MAANA HAWATAKI ZAMBI KATIKA MWEZI HUU MTUKUFU

HII NDIO HALI HALISI MPAKA HAPO YESU ATAKAPORUDI

No comments:

Post a Comment