Na mdau toka Ughaibuni
Tuesday 25 October 2011
KILIO KWA WAFANYAKAZI POSTA BONGO ACHENI WIZI
Habari za mchana,mie nina kilio changu na posta makao makuu dar,sie tulioko ughaibuni tunatuma parcel nyumbani tena inakuwa zawadi ya birthday au harusi,cha ajabu mzigo wenyewe unalipiwa kodi hapa ulaya na mzigo ukishafika tena dar unalipia tena zaidi hata ya zawadi iliyoko ndani...Pia cha kushangaza zaidi wanapekua mizigo wakikuta vitu kama chocolate wanafungua na wanaanza kula bila hata ruhusa!!!,mwaka jana nilituma parcel kwenda nyumbani zilikuwa nguo za mtoto aina ya nike parcel likatokomea palepale posta..sasa jamani posta kubwa kama dar mkianza kudokoa vitu vidogovidogo kama chocolate,pipi na nguo za watoto hivi kweli tutafika...Tunaomba uongozi wa posta dar waangalie ni vitu gani vya kutoza kodi na kodi isiwe kubwa zaidi ya zawadi,inakuwa haina maana kumtumia mtu zawadi halafu kulipia hela nyingi..mie ni hayo tuu.."
kilio cha wengi Mdau nafikiri wakati mwingine wafungiwe Ki...ny...e...s...i aka Ki...mb....a,aahhhh wananikera sana hawa watu.
ReplyDeleteTHIjui nithemeje mana mi THIkilio cha maandishi HApa NliPO MICHodhi YAntoka KWa kukERWA na HawA WATU yani mPKa hATa kuandika nakoTHea NACHANGANYA maherufi yani KILIO CHA kWIKWI kbs MIKONO YOTE YATETEMA.
ReplyDeleteNAFIKIRI MDAU HAPO JUU UMETOA WAZO ZURI YANI NIKUTUMA MBONGE WA MKIMBA UNAVIRINGAVIRINGA VIZURI KIMVUTO KM ZAWADI VILE SHENZI KBS. NA NIKIGUNDUA WAMEFUNGUA NDO NTASHTAKI SASA KUWAMAVI YANGU YAMEIBIWA AU YAMEFUNGULIWA MANINA. NNA HASIRA SAN IASC NA HAWA WATU