"We sat beside your bedside,
Our hearts were crushed
and sore;
We did our best to the end,
'Til we could do no more.
In tears we watched
you sinking,
We watched you fade away;
And though our hearts
were breaking,
We knew you could not stay.
You left behind some
aching hearts,
That loved you most sincere;
We never shall and never will
Forget you Father dear."
&&&&&&&&&&&&&&&&&&
Our hearts were crushed
and sore;
We did our best to the end,
'Til we could do no more.
In tears we watched
you sinking,
We watched you fade away;
And though our hearts
were breaking,
We knew you could not stay.
You left behind some
aching hearts,
That loved you most sincere;
We never shall and never will
Forget you Father dear."
&&&&&&&&&&&&&&&&&&
ILIKUWA NI SIKU KAMA HII YA LEO TAR 07 FEB 1988 ULIPOTUTOKA GHAFLA KWA AJALI YA PIKI PIKI,MPAKA SASA IMEPITA MIAKA 24 TOKA ULIPOTUTOKA NA KUTUACHA WAPWEKE KATIKA DUNIA HII YENYE KILA AINA YA SHIDA NA RAHA.
ULIPOTUTOKA ILIKUA NI MSHTUKO MKUBWA WA FAMILIA KWANI HATUKUTEGEMEA KAMWE KWAMBA UNGETUACHA GHAFLA NA MPAKA LEO HII TUNGEFIKA HAPA TULIPO PEKE YETU BILA WEWE.
BABA KWA MIAKA YOTE HIYO HATUKUA NAWEWE KIMWILI LAKINI KIROHO TULIKUA PAMOJA NA TUTAENDELEA KUWA PAMOJA DAIMA.
KATIKA KIPINDI CHOTE CHA MIAKA HIYO 24 TUMEPITA MAPITO MENGI YA VIKWAZO NA MACHUNGU YA KILA AINA KATIKA DUNIA HII LAKINI HATUKUKATA TAMAA,TULIENDELEA KUJIKAZA NA KWA MSAADA WA MWENYEZI MUNGU TUMEWEZA KUSIMAMA WENYEWE MPAKA KUFIKIA HAPA TULIPO KIASI KWAMBA SASA NASISI TUNAITWA BABA/MAMA,TUKIWA NA WATOTO WANAOTUTEGEMEA
NI KIPINDI KIGUMU NA FUNZO KUBWA TUMELIPATA KIASI KWAMBA HATUTAKUBALI NASI WATOTO WETU WAJE KUKUA BILA BABA ISIPOKUWA IWE NI KWA MAPENZI YA MUNGU TU.
TUNA IMANI PIA KWAMBA NAWEWE HUKO ULIKO UNA FURAHA NA MAFANIKIO YETU HAYA KIDOGO TULIYONAYO NA UTAENDELEA KUWA NASI NA KUTULINDA NA WANAOTUTAKIA MABAYA,WAOVU NA WOTE WASIOPENDA MAENDELEO YETU HAPA DUNIANI.
SIKU ZOTE HUWA NINA IMANI KATIKA KILA NINALOFANYA KWAMBA UKO PEMBENI YANGU UKINIPA COMPANY NA SUPPORT ILI NISIKWAME.
MUNGU AIPUMZISHE ROHO YAKO KWA AMANI HUKO ULIKO MPAKA HAPO TUTAKAPOONANA TENA,
R.I.P.NAZARETH ANYELWISYE MWAMGOGWA.
*******************************************************
No comments:
Post a Comment