---
MAHAKAMA
Kuu Kanda ya Dar es Salaam imewahukumu kifungo cha miaka 20 jela au
kulipa faini ya Sh bilioni 21 raia wawili wa China waliokuwa
wakikabiliwa na kesi ya uvuvi haramu katika Ukanda wa Kiuchumi wa
Tanzania (EEZ) na kuwaachia huru wengine watatu.
Aidha, samaki waliokutwa kwenye meli hiyo hawatahusika na amri yoyote ya Mahakama hiyo kwa sababu Serikali ilishawagawa bure katika taasisi mbali mbali.
Pamoja na adhabu hiyo, Mahakama pia iliamuru meli ya Tawaliq I ambayo ilitumika kwa uvuvi huo haramu itaifishwe na Serikali ya Tanzania, kwa sababu ilikuwa ikifanya shughuli hiyo ya uvuvi kwa majina mbalimbali.

No comments:
Post a Comment