Kwa watanzania pamoja na marafiki
kamati ya muda iliyoteuliwa ubalozini kwa nia ya kuanzisha chama cha watanzania sweden inawakaribisha katika hafla fupi ya ufunguzi wa chama na pia kuchagua viongozi watakaoendeleza shughuli za chama.
mgeni wa heshima katika ufunguzi na uchaguzi wa chama cha watanzania atakuwa mh,
BALOZI MOHAMED MWINYI HAJI MZALE
sehemu-Tanzania House Nasby Alle 6, Taby
Wakati na tarehe-tar 28 april 2012 saa tisa mchana mpaka saa kumi na moja jioni
mwaliko utatumwa kwa barua pepe ikiambatanisha fomu za kujiandikisha kugombea uongozi wa chama,
pia waweza kupakua fomu za kugombea katika tangazo zilizowekwa kwenye mtanzao wa ubalozi.
wote mnakaribishwa na mkipata taarifa hii tafadhali mjulishe na mwenzio
kamati ya wanamchakato kupitia
katibu wa muda
KUPATA FOMU BOFYA HAPA
1. JINA LA MGOMBEA UONGOZI:…………………………………………………………………………………….
2. UMRI/MIAKA YA MGOMBEAJI:……………………………………………………………………………………...
3. JINSIA MKE/MUME:…………………………………………………………………………………………………………
4. MJI/MKOA ……………………………………………………………………………………………………………………….
5. ANUANI …………………………………………………………………………………………………………………………..
6. SIMU …………………………………………………………………………………………………………………………
7. ANUANI YA BARUA PEPE…………………………………………………………………………………………………
8. MGOMBEA UONGOZI ANAWEZA KUANDIKA MACHACHE KWA NINI ANGEPENDELEA KUONGOZA CHAMA HIKI CHA JUMUIA YA WATANZANIA SWEDEN.
……………………………………………………………………………………………………………………………………………
………………………………………………………………………………………………………………………………………………………
……………………………………………………………………………………………………………………………………………………..
………………………………………………………………………………………………………………………………………………………
TAREHE……………………………MAHALI……………………………………………SAHIHI……………………………………………..
CHAMA CHA WATANZANIA SWEDEN
No comments:
Post a Comment