Baadhi ya waandamanaji wakiwa jirani na Kituo cha Polisi cha Maturubai kilichopo Mbagala jijini Dar leo.
Baadhi ya waandamanaji wakiwa jirani na Kituo cha Polisi cha Maturubai kilichopo Mbagala jijini Dar leo.
Jamaa aliyejitambulisha kwa jina la Ally Ramadhani ambaye ni dereva wa
daladala naye akiwa ameambulia kipigo baada ya kujichanganya na
waandamanaji.
Jamaa aliyejitambulisha kwa jina la Paul Martin ambaye alidai alikuwa akienda sokoni ndipo akaambulia kipigo.
Kibao cha kanisa kikiwa kimevunjwa.
…Hili lilichomwa moto.
---
WATU
wanaodaiwa kuwa ni Waislamu wamevamia makanisa mbalimbali yaliyopo
Mbagala Kizuiani jijini, Dar wakihamasisha vurugu wakimtuhumu mtoto
Emmanuel Josephat kuwa amekojolea kitabu cha dini hiyo (Msaafu) Oktoba
10, mwaka huu.
Baadhi ya makanisa yaliyoshambuliwa ikiwa ni pamoja na kuchomwa moto magari yao ni Kanisa la Sabato, Aglikana na T.AG .
Baadhi ya makanisa yaliyoshambuliwa ikiwa ni pamoja na kuchomwa moto magari yao ni Kanisa la Sabato, Aglikana na T.AG .
(PICHA/HABARI: ERICK EVARIST/GPL)
NAWAPA POLE WOTE WLIOADHILIKA NA MAJANGA HAYA, LAKINI MUNGU MARA ZOTE ANAKUWA UPANDE WA WATU WANAO ONEWA.NHI KAMA TANZANIA HUWEZI AMINI KAMA JAZBA KAMA HIZO ZINAWEZA KUTOKEA,SISI WATANZANIA TUMELELELWA KATIKA MISINGI YA UNDUGU BILA KUJALI DINI, UKABILA,NASHANGAA KUONA MAMBO HAYA YAKITOKEA SASA, TUSEME NINI,MBONA SASA HIVI WENZETU WANATAHADHARI KUBWA KULIKO MIAKA ILIYOPITA.WAKRISTO TUENDELEE KWAOMBEA NA KUWAPENDA HAO NI NDUGU ZETU TUU. GODLVE FAITH
ReplyDelete