| BAADHI YA WAKAZI WA IMEZU WAMESEMA AJALI HIYO IMESABABISHWA NA MWENDO KASI |
| MWILI WA MAREHEMU ENOCK LWILA UKIWA UMELAZWA CHINI KUSUBIRI WANA USALAMA KUJA UCHUKUA |
| MAREHEMU ENOCK LWILA AMEKUTWA NA ZAIDI YA SHILINGI MILION 15 KATIKA SOKSI NA KWENYE MIFUKO YAKE YA SURUALI INASEMEKEANA ALIKUWA ANAENDA DSM KUNUNUA BIDHAA MBALIMBALI ZA DUKANI KWAKE |
| chanzombeyayetublog |
No comments:
Post a Comment