Mara moja moja naenda kuosha madhambi
Pastor wetu mwenyeji wa Mtwara kwahiyo tunaenda sawa kiswahili msiogope
Broda Audley akirekebisha mitambo watu wakamuwahi "kachaa"na mitambo mikalimikali
tulijumuika kiasi cha kutosha kabisa
baadae tukaunda mduara na kuimba wimbo mmoja spesheli wa upako jina ntawambia next week.
Tukiimba "BWANA MUNGU NASHANGAA KABISA",
kuwepo hapa mbali toka huko makwetu nayo ni miujiza lazima tushangae.
Ndugu yetu toka TZ akipata mawaidha toka kwa Pastor
Safi sana
SHUGHULI IKAISHA NAMNA HIYO,HUWA TUNAKUTANA KILA JUMAPILI SAA NANE MCHANA MPAKA SAA TISA MISA INAISHA.NI SAA MOJA TU KUSALI,KWAHIYO WALE WAVIVU KINA SISI WA KUSALI SAA 1 UNAWEZA BANA.MPE MUNGU MUDA KIDOGO TU WA KUMWABUDU NAYEYE ATAKUSAIDIA KATIKA MAISHA YAKO.MPE MUNGU HESHIMA YAKE WAKATI BADO U MZIMA MAANA KATIKA DUNIA HII HATUJUI SIKU WALA SAA.
No comments:
Post a Comment