ka-dansee time woooowdj mike alikuwa tayari tayari anasubiri kipyenga tu kwamba aanze kumwaga nyuki.na alitandika masebene siku hiyo mpaka basi yaani tulikuja shangaa watu wamekimbia wakati dj ndio kwaanza alikua anaanza kupandisha munkari wa kumwaga mabolingo ya maana.
teh teh teh mziki ulifunguliwa na yori yori basi ni full kujiachia kiafrika zaidi we weeeee.
hapa ni shughuli ya champagne inaendelea huyu naye na bia kichwani,mradi ilikuwa ni viroja na raha watu walifurahi sio siri yaani.he hee huyo jamaa mwenye shati la draft alicheza muziki siku hiyo kama vile kalipa kiingilio maana ilikuwa balaa alikuwa busy kweli.alifurahisha sana shangwe zinaendelea na mipakazo kama kawa.
No comments:
Post a Comment