upande mwingine wa wageni waalikwa ilikua hivi meza kuu muda wa champagne nijazie,nijazie ha ha haa,muda wa kunyweshana champagne ilikua kazi maana watu walikua tayari nyiingi,kuutafuta mdomo ulipo ikawa shughuli but was fun. wageni waalikwa upande wa bibi harusi
No comments:
Post a Comment