
producer man walter akipokea tuzo za 20% aliyefunika kwa kuchota tuzo tano.big up asilimia ishirini
20% tuzo tano kijana amekomba

lina kutoka THT kanyakua tuzo mbili(msanii bora wa kike na msanii anayechipukia)

Hard Mard kashinda wimbo bora wa reggae(ujio mpya)
Barnaba toka THT alishinda wimbo bora zouk-rumba (nabembelezwa)

Mpoki kashinda wimbo bora wa kienyeji licha ya kutimuliwa wakati wa kupendekezwa

bendi ya mapacha watatu wameshinda tuzo mbili(wimbo bora wa kiswahili na chokoraa rapa bora)hongera sana wajomba mmejitahidi kazeni buti.
wabongo tunatisha anga hizi vibaya

mzee yusuph kashinda tuzo wimbo bora wa taarab(valentine)

msanii joh makini wimbo bora wa hip-hop


C pwaa
video bora ya muziki- (ACTION)

Producer bora Lamar toka fish crab
picha na habari toka burudani na jiachie blog
No comments:
Post a Comment