
ofisa mkuu wa masoko na uhusiano Mwamvita Makamba akikata utepe kuzindua Vodacom House Miss Tanzania 2011
Washiriki wa mashindano hayo ktk pozi mbalimbali

warembo hao wakigonga chiazz kwa pamoja

mratibu wa mashindano hayo hashim lundenga akiwashukuru wahudhuriaji

champagne zikafunguliwa


Hashim Lundenga na Mwamvita Makamba wakigongesha glass na warembo


wageni waalikwa wakipata viburudisho na vinywaji mbalimbali
picha:michuzijr
No comments:
Post a Comment