

msafara wa makamu wa rais dk Gharib bilal ukiwasili viwanja vya leaders

mkuu wa mkoa wa Dar mheshimiwa Said Mecky nae pia akiingia na viongozi wengine

viongozi mbalimbali wa chama na serikali waliohudhuria mazishi hayo

mama yake na marehemu akiwasili viwanjani hapo

mdogo wa marehemu nae akiwasili

dada wa marehemu ambae alifikishwa hapo akiwa hajiwezi

umati wa watu ulikuwa mkubwa sana hapo leaders

mwili wa marehemu kanumba ukiwasili viwanja vya leaders kwa ajili ya kuagwa

mama Salma Kikwete akiaga mwili wa marehemu Kanumba

mheshimiwa Benard Membe nae akitoa heshima zake za mwisho

wasanii wote kamati ya maandalizi walikuwepo

jukwaaa kuu

makamu wa rais akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu

mheshimiwa SUGU nae alikuwepo kutoa heshima za mwisho

wasanii kamati ya maandalizi nao wakimsindikiza mwenzao


umati leaders palikuwa hapatoshi



red cross nao walikuwepo kuhakikisha kila kitu kinaenda sawa kwa watakaozimia
BAADA YA HAPO SHUGHULI YA MAZISHI IKAHAMIA KINONDONI MAKABURINI

Steve Nyerere akiwasili na msalaba


makaburini kinondoni nako kulikuwa na umati mkubwa wa watu

Afande Kova akitoa angalizo la kiintelijensia ili pasitokee madhara yoyote

waziri Nchimbi akijadiliana jambo na kamati ya maandalizi


mwali wa marehemu ukiwasili makaburini hapo

hii ndio nyumba yake ya milele marehemu steve aliyoandaliwa

mama wa marehemu akiwasili makaburini huku akiwa kaongozana na asha baraka


mwili wa marehemu ukishushwa ndani ya jeneza
********************THE END******************
picha zote kwa hisani ya michuzi_matukio blog
No comments:
Post a Comment