Sunday, 6 January 2013

SHUKRANI ZA MWAKA




Mimi ni SALIM CHUMA,mmiliki wa Chuma blog.Napenda kuchukua fursa hii kushukuru wadau wangu wote.
Shukrani nyingI ziwafikie Mablog wezangu wote,radio presenter, na tv zote tz na Duniani kote, Pamoja na wadau wote. Naamini bila nyinyi Blog yetu (Chuma blog) isinge fika hapa ilipo sasa. 
Pamoja na waandaji wa magazeti mmekuwa mstari wa mbele katika kuona umuhimu wa blog yetu kupata habari kwa haraka zaidi.
Nachukua fursa hii pia kushukuru Blogs mbalimbali kwa kuweza kufanya kazi kwa pamoja pale napokuwa na tatizo wanakuwa mstari wa mbele kunisaidia.Bila kuwasahau wasanii ambao nafanya  kazi nao. 

Nawaomba muonyeshe tena moyo huo kwa mwaka huu na mingine.  Msisite kama nimemkwaza mtu yoyote katika ukanjanja naomba msisite kunielekeza na kunisamehe. 

Nawapenda wote na kuwajali,Nawatakia  mwaka mwema.

Shukrani zote kutoka kwa Mkurugezi wa Chuma Blog

 SALIM CHUMA


  KWA MAWASILIANO ZAIDI:

BLOG NAME:   CHUMA BLOG (TANZANIA)
 
BLOG LINK:     www.thechuma.blogspot.com
 
TEL:  Mobile:   +255 712 222244,  +255 766 222244
 
E mail:             salimmore@yahoo.com

No comments:

Post a Comment