Wednesday, 3 November 2010

lunchtime leo"UGALI DAGAA NA TEMBELE"



Mahitaji


  • Dagaa wakavu (dry anchovies packet 1)
  • Unga wa ugali (corn meal flour 1/4 kilo)
  • Matembele ya kukaushwa (dried sweet potato leaves, handful)
  • Nyanya ya kopo (tin tomato 1)
  • Kitunguu maji (onion 2)
  • Limao (lemon 1/4)
  • Pilipili mbuzi nzima bila kukata (habanero chili 1, do not chop)
  • Chumvi (salt kiasi)
  • Mafuta (vegetable oil) 
  • Hoho (green pepper 1)
  • Kitunguu swaum (garlic 5 cloves)
  • Tangawizi (ginger 1 kijiko cha chai)
  • Binzari ya curry (Curry powder 1/2 kijiko cha chai)
Matayarisho
Safisha dagaa kwa kutoa vichwa na utumbo kisha waoshe na uwakaushe na kitchen towel na uwaweke pembeni. Baada ya hapo katakata, vitunguu na hoho kisha weka pembeni. Baada ya hapo weka sufuria jikoni na utie mafuta yakisha pata moto tia dagaa na uwakaange mpaka wawe wa brown, kisha tia kitunguu swaum,curry powder na tangawizi, kaanga kidogo kisha malizia kwa kutia vitunguu maji, hoho,pilipili,chumvi na ukamulie limao. Kaanga kwa muda wa dakika 3-4 na hakikisha vitunguu na hoho haviivi sana na hapo dagaa watakuwa tayari.

Baada ya hapo yaoshe na uyaloweka matembele (kama ni makavu) kwa muda wa dakika 15, Kisha yatoe na uyaweke kwenye sufuria pamoja na kitunguu, nyanya, chumvi ,kamulia limao kidogo, pilipili na maji kiasi. acha matembele yachemke kwa muda wa dakika 20 na uhakikishe yameiva kwa kuwa laini. Baada ya hapo yapike mpaka maji yote yakauke na mafuta yatok na hapo matembele yatakuwa tayari.

Ukisha maliza kupika dagaa na matembele andaa ugali.waswahili wengi najua mnaelewa jisi ya kusonga ugali.kwa mlio sverige tembele frozen lakini linapatikana taj mahal,dagaa msinunue ica maana zile za ica ni spesho kwa mbwa na paka,ila ukienda lile duka la wa-west pale hotorget chini utapata dagaa.

DILMA ROUSEIF MWANAMAMA PREZIDAA WA KWANZA WA BRAZIL






Ruling party candidate Dilma Rousseff will become Brazil's first woman President after winning the run-off vote against Jose Serra.

Ms Rousseff had 55.8% of the votes against 44.2% for centrist candidate Serra with more than 97% of the total counted.

She will be sworn in as President on January 1 next year.

Ms Rousseff, 62, a career civil servant who has never held an elected office before, was bolstered by the support of President Luiz Inacio Lula da Silva.

As polls opened, Ms Rousseff paid tribute to Mr Lula, and assured Brazilians that while he would not have an official role in her government, he would always be near.

"President Lula, obviously, won't be a presence within my cabinet," she said at a final campaign stop in her hometown of Belo Horizonte.

"But I will always talk with the president and I will have a very close and strong relationship with him.

"Nobody in this country will separate me from President Lula."

Ms Rousseff pledged to continue Mr Lula's popular social programmes which have helped take 20 million Brazilians out of poverty since he took office in 2003.

With about 135 million voters, Brazil's powerful economy has helped it achieve an important position as a key emerging nation.

Latin America's largest country is also a world leader in bio-fuel development, while simultaneously working to develop massive deepwater oil fields.

Ms Rousseff will lead a nation due to host the 2014 World Cup and the 2016 Summer Olympics, by which time it is expected to be the globe's fifth-largest economy.

"I want to unite Brazil around a project not just of material development, but also of values," she said.

"When we win an election, we must govern for all Brazilians without exception."

Mr Serra, 68, is a former governor of Sao Paulo state and one-time national health minister who was heavily defeated by Mr Lula in the 2002 presidential election

Monday, 1 November 2010

ANGA ZA BILAL MAS***I

 kaopowa
 kibao kata
si mbaya ukiosha macho

jirani yangu huyu wa zamani kwa visa simuwezi,maana nikikumbuka vituko vyake mtaani hamu sina.naona analiendeleza.

picha:8020 fashion.

MAZISHI YA KOCHA SYLLESAID MZIRAY


R.I.P mziray

Ratiba ya kuaga mwili wa marehemu Syllersaid Mziray, "Super Coach" kwa ajili ya mazishi yake yanayotarajiwa kufanyika leo kwenye makaburi ya Kinondoni,jijini Dar.

Taratibu hizi zitaanzia Makao Makuu ya Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania, Kinondoni Biafra kuanzia saa 4:00 asubuhi.

4.00 – 05.00 Kuwasili Waombolezaji

05.00 – 5.30 Viongozi, Wageni Waalikwa wa CKHT kuchukua nafasi zao.

05.30 – 6.00 Nyimbo za Maombolezo.

06.00 – 07.00 Kuwasili Mwili na Ndugu wa Marehemu.

07.00 – 07.15 Wimbo wa CKHT kupigwa.

07.15 -08.15 Misa/Sala.

08.15 – 08.20 Maelezo ya Wizara ya Michezo, Mwakilishi wa Wizara.

08.20 – 08.25 Maelezo ya TFF, Mwakilishi wa TFF.

08.25 – 08.30 Maelezo ya Simba Sport Club , Mwakilishi wa Simba.

08.30 – 08.25 Wasifu wa Marehemu CKHT .

08.35 – 08.40 Maelezo ya mwisho ya MMC VC.

08.40 – 08.45 Shukrani ya Familia,Mhusika wa Familia,

08.45 – 09.45 Kuaga mwili wa Marehemu.

10.00 – 10.05 Wimbo wa Chuo.

10.05 Kuelekea Makaburini Kinondoni


SHULE YANGU NILIYOSOMEA PRIMARY

SHULE LA UTEMINI
ukisikia shule ya utemini ilikua ni utemini kweli,maana hapo jirani kulikuwa na mtemi chifu senge,ambaye alikuwa anakaa ndani ya hekalu lake na mke mkubwa,kisha zilifuata nyumba za wakeze karibia mtaa wote wa utemini zonda,mtemi senge pale kwake kulikuwa na zoo ambayo ulikuwa unakuta wanyama wa kila aina,simba,nyoka,fisi,chui n.k akifuga.huyo chifu mwenyewe usifanye mchezo maana alikuwa kajazia na ana msuli kaenda hewani na ana miguvu usipime.hawa simba chui huyu chifu alikuwa anasifika kwa kuwakamata mwenyewe kwa mikono yake live,haya ukishuka chini huku ndio ulikuwa unakuja ubabeni uswazini,hapo ulikuwa unawakuta kina msindai,msafiri,wile juma toronto,buya na watoto wa mzee mwarabu mwana hapo usipime hili jeshi lilikua balaa kitaa,wakilianzisha timbwili nyie lazima mjifungie ndani maana visu na machete vilikuwa vinapepezwa hewani kama pia,kisha hiyo timu ilikuwa kwa utaalamu wa wizi usipime,kwanza ni ndumu mwanzo mwisho kisha baada ya hapo wanakwapua chochote wakiona njiani na ole wako uwaulize.yah nilishi mitaa hiyo katika mazingira hayo kwa miaka minne,ilibidi namimi niwe mgumu ili kukabiliana na hali halisi maana ukiwa yai hawa jamaa watakuonea sana aisee.story ingine ya maticha na kuruka majoka enzi hizo baadaye.