kina senti hamsini,tyson na mastaa wengi walioko marekani na ulaya safari zao kuelekea huko ilianzia maeneo kama haya barani afrika,wengi walikamatwa na kulazimishwa kwenda kuuzwa huko kwa ajili ya biashara ya utumwa,unaweza kuangalia movie ya roots ukajionea historia,tushukuru mungu haikuendelea.na siku hizi tunajipeleka wenyewe huko, tumejichanganya na ndio mnaona hawa walatin brown coloured.usijaribu kuwaonyesha wala kuwaambia black-american kama walitokea mahali kama hapo,utakuwa hujipendi au uwe umevaa bullet proof mwili mzima maana mmh.
picha:mjengwa blog.
No comments:
Post a Comment