habari zaidi gonga HAPA
pia kuna kundi la mafioso wa zamani waliokuwa wanaitawala malmo kwa uhalifu nao wameamua kuingia mtaani kumsaka huyo jamaa,na wameapa aombee wasimkamate kabla ya polisi maana watakachomfanya anajua mungu habari yake utaipata HAPA
ndugu yangu niko ulekule hawa watu hawajaamua waache kutudanganya hapa,siu bahati nzuri akimlenga ushekta mmoja ndio watatujulisha ni nani ila kwa sasa bado hajaua watu ni .......
ReplyDeleteteh teh,eti akimlenga ushekta hahaa,wala si utani mkuu hapo ndio wataanza kushughulika.
ReplyDelete