nyomi ni la kufa mtu humo ndani watoto wa anga za jirani wakumwaga
unoz ni kama kumsukuma mlevi
style kama hizi kitu kawaida kabisa,lakini kama umetoka huko matombo mlogolo lazima uduwae
yaah ikifika sebene linaunguruma pale hamchelewi kukisikia kama mko kwa werrason
wakongwe lily interno na madinda
mkulu mkongwe adlphe mbinga nasikia karudi twanga kuliendeleza libeneke
wachuchu wanang"ara,wewe tu waweza kujifanya pedeshee siku moja moja ubahili ukaweka kando ukajipa raha.
No comments:
Post a Comment