Wanamwita" BEBE COOL" i dnt know,im not sure maana ulaya hapa usanii mwingi
nikawakuta chemba wataalam hawa wa kilimanjaro club wakiteta
linda alituwakilisha vyema wabongo
huyu mshkaji toka togo aliwateka sana ma-blonde maana hapa alikua anatoa unoz kama kapagawa
nikiwa ktk ulinzi mkali na ma-F.F.U wangu
ethiopia
pendo james nae alituwakilisha wabongo,siku hiyo majaji hawakuwa na pakutokea maana tulikaba kila kona
unoz.com
badala ya mwanadada amani toka kenya tukaletewa huyu.sijui hata aliimba nini,halafu baada ya kupafom mida mibovu nikamkuta anabembea ile kisawasawa ubapa-ubapa na ngazi yuko mbwayi ile mbaya,nikaona duh hii tena.
amafoto mengine yatawajia baadae si unajua dozi ya vitu vizuri inakuwa ndogo kama piriton,vuta subra.
No comments:
Post a Comment