tukiwa tumetulia kidogo na jamaa zangu kusubiria safari ianze
nyomi lilikua kubwa na watu walianza shangwe mapeema"steress kumfuko"
mchuma ukiwa umepaki kwa heshima ukisubiria wapakazaji waingie
safari ya kuingia usiulize kibega kamzigo kalinielemea
steress zote huwa tunaacha kwenye haka kakorido unakuja zichukua ukirudi na kwenda nazo nyumbani
mpango mzima ulianzia hapa,kama uliona shangwe sana ndani basi madude haya yalisababisha
ndani nikakutana na ndugu zangu hawa
linda nae akiwa na troop lake si mchezo
wazee wa kuchapa wakiwa wako full kurusha ndege usiku mzima
nikakutana na ndg yangu P.D.G.clay kona
pozi za ngumi tena!ndugu zake na gbagbo utawajua tu
ngoma ililizima bado mchana kweupee
nikakutana na mrembo wetu huyu,mnamkumbuka?
MORE PHOTO TO COME,STAY TUNED TO ISAACKIN
No comments:
Post a Comment