WAUNGWANA KINA ANONYMOUS TUJITAHIDINI KU-COMMENT BILA KUANDIKA MATUSI JAMANI.
UKIANDIKA MATUSI COMMENT YAKO SITAIWEKA NA INA MAANA UJUMBE WAKO HAUTAFIKA,
NDIO TUNAELEWA VITU VINGINE VINATIA HASIRA LAKINI JARIBU KUANDIKA KUTOA DUKU DUKU LAKO NA HASIRA ZAKO UJUMBE UFIKE BILA MATUSI WALA KUVUNJA COMPUTER YAKO.ASANTENI SIKU NJEMA
NA KWA KUWAHESHIMU SAANA NIMEWALETEA UJUMBE NA SUTI YANGU YA HARUSI.
NA KWA KUWAHESHIMU SAANA NIMEWALETEA UJUMBE NA SUTI YANGU YA HARUSI.
Asante sana kaka!ujumbe umefika.
ReplyDeletehahahahha Suti ya Harusi imekutoa kaka yangu!siku nyimgine ukitoa maamuzi haya kaka wifi naye awe pembeni na Gauni yake ya harusi.
WAKO DADA YAKO RACHEL.
safi sana!!!!anonymous anonymos anonymous!!!! .kama kweli umeguswa sema usikike bila jina kamili hueleweki unaogopa nini au unaona haya kwa kuwa utaandika utumbo!!!na matusi ya nini na unaemtukana hakuoni na wala wewe mwenyewe watu hawakuoni!!!!kaa tafakari.kuwa anonymous there might no need to comment coz nikama kupishana na mtu anaongea peke yake barabarani!!!
ReplyDelete