unatakiwa uwe na pork julliene cut
uwe na tiger prawns kiasi chako
onion,green peper,carrot,spring onion na red onion zikiwa zimekatwa hivi
weka ndani ya wok pan olive oil kisha utaweka hiyo mixer hapo juu(pork,prawns na veggies)vyote kwa pamoja katika pan
endelea kuvichanganya changanya humo ndani ukigeuza hata kwa kuvirusha rusha na kubadilisha style za kuchanganya(wataalam watajua ni vipi),changanya kwa dk 5 kisha weka garlic na ginger kijiko kimoja na fish sauce au soy sauce kijiko kimoja then changanya tena kwa dk 5,msosi uko tayari.
msosi huo hapo kwishney
baada ya hapo unajisevia,mimi nilitumia viepe na kachumbari,lakini unaweza ondoka na ugali,mihogo,wali au tambi hiyo wewe tu na roho yako
enjoy
MAHITAJI
*Tiger prawns
*pork fillet
*onion,green pepper,carot,spring onion
*fish sauce or soy sauce
*ginger garlic paste
*lemon juice or vinegar
*salt to taste
kuna mdau mmoja wa blog aliomba tuweke recipe ya chapati,mdau ombi lako linashughulikiwa usijali mara nikitengeneza tu ntakuwekea hapa nawewe upate maujuzi,
karibu sana
No comments:
Post a Comment