HIVI NAULIZA DALLAS NI NANI HAPA MJINI NA ANA SHILINGI NGAPI?KWA NYIE MNAOPENDA KUTUCHAFULIA MAJINA?
NAOMBA LEO NIFUNGE KWA WALE
WANAOPENDA KUWACHAFULIA WENZAO MAJINA MIMI SIO MWANAMKE LIMBUKENI HATA
SIKU MOJA,NAJUA KUZITAFUTA NA NDIO MAANA NATUMIA SIBABAISHWI NA BINADAMU
YOYOTE HATA AWE MILIONEA KIDOGO CHANGU NIKIPATACHO NARIDHIKA
SANA NAJIONA NINAZO,HUYO DALLAZ MLIONITOA NAE GAZETINI SABABU SIPO BONGO
NA KUNIONA KWA SASA NAISHI MAISHA YANGU MIMI SI LIMBUKENI KWA
UFUPI,MSIMPE MTU CHATI KILA MTU KATEMBEA NAE YEYE HAPA BONGO KWA LIPI LA
AJABU NA YEYE NANI? LABDA KWA UFUPI MAISHA YANGU NI YANGU MIMI
SIHANGAIKI NA WENYE HELA ZA MSIMU HATA ,MUULIZENI NA HUYO SIJUI DALLAS
ALISHAWAHI HATA SIKU MOJA KUBUSU HATA KIPANDE CHA MKONO WANGU?SIKU ZOTE
NAKAA KIMYA ILA SASA NAONA MNANIPANDA KICHWANI MIMI SI MCHAFU KOGE NA
WALA SIO DALADALA KILA MTU ANAPANDA NAOMBA MNIKOME KIDOGO,SIHITAJI PROMO
NINAYO TOKA NIPO TUMBONI KWA MAMA,MNIACHE MTOTO WA MWENZENU NA NINA
MOYO NA MIMI SINA JIWE KWA LIPI HASA MNATUWEKA WENGINE NA WALE
WASHOBOKAJI MJINI MSINIPAKE SHOMBO HATA SIKU MOJA NA WANAOWATUMA
WASICHOKE MIMI NIPO NA NITAENDELEA KUWEPO.NILIPO KWA SASA NATUMIA KWA
PESA ZANGU NA WAZUNGU WENZANGU NYIE MLIOGEUZA MANENO MTAJI NAWAPA SALAMU
ZENU.
No comments:
Post a Comment