Friday, 18 June 2010

BEAUTIFULLY AFRICAN CONTINENT

namibia road trip.
flamingos
fish river canyon-namibia
sometime unashindwa kuelewa kwanini vita na maradhi haviishi??uzuri wa bara letu hili umeingiliwa na watu waliotuzawadia bunduki na risasi na mabomu,unashindwa kuelewa ni jinsi gani waafrika tuna akili mbovu kiasi gani mtu anakuletea bunduki na mabomu na risasi then mnabadilishana na gold,diamond,na madini mengine mengi tu yenye utajiri uliotukuka,hapo ndio huwa nachanganyikiwa,anyway iko siku labda tutajikomboa.

No comments:

Post a Comment