Thursday, 10 June 2010

MISS INDIAN OCEAN NI LEO WADAU


yale mashindano ya miss dar indian ocean sasa yamefikia muda wake,kinyanganyiro hicho kitafanyika leo katika ukumbi wa double tree hilton hotel,kiingilio kitakuwa ni tshs 30,000-tu.na mshindi wa kwanza atajipatia tshs 1.2 mil,wa pili tsh 800000 na watatu ataondoka na tshs 500000,haya wadau mambo ya burudani ndio hayo mjumuike.

No comments:

Post a Comment