kuna baadhi ya post nakuwa nimeweka zinatoka zikiwa plain white.post hizo mara nyingi nakua sijui kilichotokea maana najaribu kutumia new blogger interface,
hivyo wadau naomba kama unaona kuna tatizo hilo katika post yoyote usisite kutuma comment na mimi ntairekebisha haraka mara tu nipatapo comment yako.
asenti
No comments:
Post a Comment