watu 65 wamenusurika kufa
eneo la Segera Mkoani Tanga baada ya basi la Dar Express lililokuwa
likitokea Arusha kwenda Dar Es Salaam kuteketezwa na Moto.
habari zaidi itawajia baadaye
Picha kwa Hisani ya Jamii Forums
No comments:
Post a Comment