BRYTON ISAAC AKIWA NA DADA YAKE WA UKWELI
NI SIKU KAMA YA LEO ASUBUHI SAA´12 NDIPO ULIIONA DUNIA KWA MARA YA KWANZA,ULIZALIWA UKIWA UNA SMILE KAMA KAWAIDA YAKO,
SASA NI MIAKA IMEENDA NA INAZIDI KWENDA NA UMEKUWA MKUBWA SASA
INGAWA NIKO MBALI NA WEWE LAKINI SIKU ZOTE NIKO NAWEWE KARIBU ZAIDI KIMAWAZO
ELEWA KUWA IKO SIKU UTASHEREHEKEA NAMI SIKUKUU YAKO YA KUZALIWA KILA MARA.
NAELEWA HUELEWI NI KWA NINI UNAISHI MBALI NA BABA YAKO,NI MASWALI AMBAYO YANA MAJIBU ILA NI MUDA TU UTAKUJA KUYAJUA YOTE
VUMILIA KWA SASA KAMA MIMI BABA YAKO NILIVYOVUMILIA NA UELEWE KWAMBA "WANAUME TUMEUMBWA MATESO"
NAELEWA FURAHA YAKO NI NINI NA NAAHIDI KUKUTIMIZIA MUDA SI MREFU
"HAPPY BIRTHDAY SON MUNGU AKUZIDISHIE AFYA NA AMANI TELE MOYONI MPAKA HAPO TUTAKAPOONANA"
ISAACKIN
No comments:
Post a Comment