Sio ustaarabu to kiss and tell.. details zote hizo za nini? Tena hewani lol!!. Wastaarabu husema tu ni kweli tumetengana kwa sasa na ni kwa sababu ya tofauti tulizokuwa nao zisizovumilika. Mkirudiana je? si unakuwa umejianika saana.
umeongea kweli mdau aliyekula chumvi nyingi stockholm,lakini pia na nyie mliokula chumvi nyingi muwe waangalifu kuwagawia chumvi zenu vijana wa ubongo wa fuleva.matokeo yake wanazi-bongo fleva hadi heshima zenu

ReplyDeleteAliyekula chumvi nyingi!
Stockholm

ReplyDelete