Msanii
maarufu wa Luninga, Sharo Milionea (pichani), amefariki dunia leo
katiak ajali ya gari iliyotokea kijiji cha Lusanga, Muheza, mkoani
Tanga. Kamanda wa Polisi Tanga, Constantine Massawe, amethibitisha
kutokea kifo cha msanii huyo aliyekuwa anaimba muziki wa kizazi kipya
pia. Habari zaidi zitafuatia. |
No comments:
Post a Comment