Monday, 9 April 2012

TUKUYU KWETU!

06 A Jesus Factory??, Tukuyu, Tanzania

hapa ndio kituoni (mjini)ukitoka kijijini wanapaita K.K.K. ama kyimo kijiji kitulifu main road ya kwenda malawi kupitia tukuyu.and yes its a jesus factory


soma ujumbe hapo mbele


Banana mobil from the back, Tukuyu, Tanzania


of course hii ni njia ya kuendea kijijini kwetu kabisa asili ya mzee kinaitwa iponjola,kukutana na roli zimesheheni mizigo ya namna hii kawaida sana


10-Schools out!, Tukuyu, Tanzania



01-Us on bikes!, Tukuyu, Tanzania


barabara yao huko main road ni full mkeka toka kabla hatujapata uhuru ndio maana ni ngumu kwenda kuwaongopea kipindi cha kampeni kwamba utajenga bara bara.

10 Tea Plantation, near Tukuyu, Tz, Tukuyu, Tanzania


09-Tea fields, Tukuyu, Tanzania


wakenya nao hawajabaki nyuma ,niliona hii picha wametangaza mahali kwamba iko tukuyu kenya
09 Growing tea - the family farm way, Tukuyu, Tanzania


chai fresh kabisa ikiwa bado shamba,kule jamaa hawanunui majani ya chai dukani wala sukari,majani wanachuma live fresh toka shamba kisha wanaanika na kupondaponda tayari kwa chai,sukari pia miwa inapondwa pondwa mpaka inalainika kisha inaanikwa na ikikauka kabisa inatwangwa kwenye kinu unapata sukari safi tu,kipindi hiyo nikimtembelea babu alisisitiza tuende na maandazi  tu kayamiss kila kitu kipo.


In the banana plantation, Tukuyu, Tanzania


vichochoro vya huko ni vimezibwa na migomba huku na huko,so huwezi toka jasho maana njia nzima ni full kivuli

08-our umbrellas, Tukuyu, Tanzania


05 Who needs an umbrella?, Tukuyu, Tanzania

ukiwa huko huna haja ya kubeba mwamvuli,mvua ikianza unakata jani la mgomba unajifunika huyooo safari na muziki,pia usisahau jani hilo la mgomba linaweza kutengeneza kijiko safi ukalia makande au ubwabwa bila tabu.

                  KARIBUNI TUKUYU JAMENI,MI NIPO HUKU NALIMA MAHINDI

No comments:

Post a Comment