
kevin na eliza siku ya kitchen party



9ja in dar ilikuwa balaa tupu


kutunza iikuwa naira tupu ili eliza asipate tabu kuzunguka bureau de change


mboni a.k.a "kim k wa bongo"


kisha ulikuwa unakutana na wadada wa mujini bongo dalesalama kwa swaga na pozi zao si mchezo.inabidi ukakope ama kuuza nyumba yenu ya urithi pale kariakoo ili uweze kumiliki japo mmoja tu.maana hawatanii.
picha:thanx to shamimy.
No comments:
Post a Comment