Aliyekuwa
Mtangazaji wa TBC1, Jerry Muro na wenzake 2, wameachiwa huru leo na
hakimu Frank Mosha wa mahakama ya kisutu baada ya kuwaona hawana hatia
na makosa waliyoshitakiwa nayo. Jerry na wenzake walikuwa wakikabiliwa
na mashitaka matatu ya Kula njama ya kutenda kosa, kuomba rushwa na
kujifanya maafisa wa Takukuru, madai ambayo yametupiliwa mbali kwa
kukosa ushahidi.
No comments:
Post a Comment