Friday, 11 November 2011

todays recipe:"GRILLED CHICKEN TANDOOR"


TANDOORI CHICKEN


Chicken 01 kg
yoghurt 250 g
Ginger and garlic paste 10 g
Green chillie pste 02 g
Kashmiri chillie powder 04 g
Chat masala 02 g
cumin powder 02 g
Garam masala 04 g
kasoori methi powder 02 g
mustard oil 25 ml
Black salt powder 04 g
Salt To taste
red colour A pinch

METHOD
01. Clean and cut chicken and marinate in ginger and garlic paste,vinegar and salt
02. Make a thick batter with all the ingredients
03. mix with chicken and set aside for half an hour
04. cook in hot tandoor
05. serve hot with mint&coriander chutney

N B:

mtasamehe sana kwamba kwa muda sasa hii kitengo ya recipe imekua haionekani hapa bloguni,hiyo yote imetokana na maeneo niliyopo kwa sasa hairuhusu mimi kuingia jikoni maana either nakuta chakula kimepikwa nimewekewa au napata misosi huko huko mitaani mahotelini.kwahiyo kidogo inakua ngumu kuingia jikoni na kuanza kutengeneza recipe kwa mikono yangu.

hata hivyo nitajitahidi kuweka misosi ya sehemu ninazokula nikiwa around kama nikikumbuka maana kidogo hiyo kitu iko pembeni.ila nitajitahidi.

kwasasa nitaendelea kuweka recipe za vyakula na wapishi mbali mbali duniani mpaka hapo nitakapoanza shughuli yangu ya upishi tena.

asanteni na karibuni

2 comments:

  1. Kaka nakuaminia, kitu kimetulia hico, swadakta baba some food.

    ReplyDelete
  2. asante mama swahili swahili tupe mambo nawewe ya kinyumbani

    ReplyDelete