Monday, 13 December 2010

BURIANI DR REMMY ONGALLA

MAREHEMU DAKTA REMMY ONGALLA

HABARI ZIMETHIBITISHWA KWAMBA REMMY AMEFARIKI USIKU WA KUAMKIA LEO,DAKTA REMMY ATAKUMBUKWA KWA NYIMBO ZAKE KALI ZENYE UJUMBE MZITO NA KUSISIMUA IKIWA NI PAMOJA NA WIMBO "KIFO" AMBAO UNAELEZEA MAUDHUI YA KIFO KINAPOKUKUMBA.NITAMKUMBUKA PIA KWA NYIMBO ZAKE NYINGI NZURI KAMA "HABIBA" NA "MAMBO KWA SOKSI" HASA KATIKA MIAKA YA 96 ALIPOKUWA ANATUTUMBUIZA PALE MANGO GARDEN KABLA YA TWANGA PEPETA.

BWANA AMETOA,BWANA AMETWAA.

R.I.P. DR  REMMY ONGALLA

No comments:

Post a Comment