Wednesday, 1 December 2010

GADNA BYE BYE KLAAAAAAAAUS EFU-EMU



Imethibishwa jamaa kaachia ngazi HAPA, sababu ikiwa ni kuwa mjasiriamali.si ngeni kwani wote tunajua kwamba GADNA na mkewe JIDE ni wajasiriamali na wanamiliki biashara mbalimbali ikiwa ni pamoja na machozi band.so sio mbaya kama mzee ameamua kuachia ngazi ili aimarishe na kusimamia biashara ya mama kwa kujinafasi,hamna la zaidi ya kuwatakia kila la kheri.

No comments:

Post a Comment