Thursday, 7 July 2011
WADAU WA MANDOMBOLO NA MABOLINGO
JB MPIANA"MUKULUKULU"
KOFFI OLOMIDE"MOPAO"
WERRASON"NGIAMA MAKANDA"
FALLY IPUPA"DE CAPRIO"
FERRE GOLA "SCETANI"
HAO NI WAKALI WA MUZIKI WA CONGO,KUNA HAJA YA KUANZISHA FORUM AMBAYO ITAHUSU HAWA WANAMUZIKI HASA KWA SISI WAPENZI WA MINDOMBOLO NA MABOLINGO.SINA UBAGUZI NIMEANZA NA HAWA JAMAA LAKINI HUKO MBELE TUTAELEKEA KWA KINA NYOSHI SADAAT, ALLY CHOKI,MASANJA BANZA,MUUMIN MWINJUMA,CHALZ BABA NA WENGINEO.KWA LEO TUANZIE HAPA.UNAWAJUA VIPI HAO WANAMUZIKI HAPO JUU
USISITE KUTOA MAONI YOYOTE MAANA NIMEOMBWA KUTOA HII POST TOKA MBALI SANA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment