Sunday, 14 June 2015

YAMOTO NEW HIT-NISAMBAZIE RAHA

BARUA YA WAZI KWA RAIS KIKWETE

Isaackin blog kurudi tena kwa speed kali

Baada ya blog kutokuwa updated kwa takribani mwaka sasa tunarudi hewani kivingine.Hatukuwa hewani kipindi chote hicho kutokana na masomo na majukumu mbalimbali.
Kwasasa nimekabidhiwa mikoba,hivyo tunarudi tena kwa habari mbalimbali.kwa sasa tutabase zaidi kibiashara vyakula na recipe zake,matukio ya burudani na of-course kuuza sura kama kawa japo siku hizi hazina bei.
Kaa tayari mdau kwa mambo mapya mwaka huu 2015.
Isaackin Blog Always.

Saturday, 7 March 2015

Dekula band live stockholm-Nakupenda

last week ilikua burrrdani pale ambapo mcharaza gitaa la solo Afrika mashariki na kati alikua akitumbuiza.Pia tulikua na ugeni wa mtangazaji wa kipindi cha mamaland pale klaaaaus radio Ben Kinyaiya alitutembelea.usiku ulikua murua na hii ni moja ya nyimbo zilizopigwa siku hiyo.
pata burudani mdau.
interview ya Vumbi na Ben itakuja badae.

Weekend tunaamsha na supu utumbo baada ya mipakazo jana

enjoy mdau